Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwa nchini Uingereza ambako anafanya ziara ya kikazi. 

  • Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (katikati) akingalia jambo kuhusu miundombinu¬†yaJengo la Ubalozi, kwenye simu ya Mwambata wa Kijeshi- Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza, Brigedia Jenerali Bright Msuya (kushoto). Kulia ni Balozi wa Tanzania- Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro, wakati mstari wa nyuma, kushoto ni Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Madeni Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Japhet Justine, Kamishna wa Fedha za Nje Bw. Rished Bade na Mkurugenzi wa Usimamizi wa Mali za Serikali Bw. Chotto Sendo, Jijini London nchini Uingereza
  • Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisaini kitabu cha Wageni katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza, ambako anafanya ziara ya kikazi kwa ajili ya majadiliano na Viongozi wa Taasisi za Kimataifa na baadhi ya viongozi waandamizi wa Serikali ya Uingereza kwa ajili ya Mipango ya maendeleo ya Tanzania.